Jumamosi: Hizi hapa odds 15 za uhakika

Muktasari:
- Chelsea wameanza kuonyesha ustawi wa kikosi chao chini ya Enzo Maresca huku Arsenal wakionekana kujiamini zaidi kwenye uwanja wa nyumbani. Odds hizi zimechambuliwa kwa kina mtu wangu. Twende kazi!
ACHA tamaa! Huu hapa mzigo wa leo, Jumamosi una Odds 15 za uhakika. Manchester City ya Pep Guardiola imeonekana kupungua makali tangu kuumia kwa Rodri, hivyo twende nao kiakili kidogo kwa kucheza magoli (GG).
Chelsea wameanza kuonyesha ustawi wa kikosi chao chini ya Enzo Maresca huku Arsenal wakionekana kujiamini zaidi kwenye uwanja wa nyumbani. Odds hizi zimechambuliwa kwa kina mtu wangu. Twende kazi!
Multi Bet (8)
Leicester – Chelsea
Chaguo: Away 1.47
Bournemouth – Brighton
Chaguo: YES (GG) 1.47
Arsenal – Nottingham
Chaguo: Home 1.43
Manchester City – Tottenham
Chaguo: YES (GG) 1.46
Bristol City – Burnley
Chaguo: 1 or 2 1.30
Atletico Madrid – Alaves
Chaguo: Home 1.45
Las Palmas UD – Mallorca
Chaguo: 1 or 2 1.37
Valencia – Betis
Chaguo: 1 or 2 1.36
Jumla Ya Makisio: 15.84