Simbu arejea nchini, ataja siri ya kung'ara Boston Marathon
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu, leo Aprili 24, 2025 amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Boston Marathon huku akisema siri ya kufanya vizuri...