Stam azitamani pointi za Yanga KOCHA Msaidizi wa Fountain Gate, Amri Said ‘Stam’ amesema kikosi chao kimeanza kuonyesha matumaini na kutibu madhaifu yaliyokuwepo hivyo wako tayari kuzipambania alama tatu katika mchezo ujao wa...
Penalti ya Pamba Jiji yamshangaza Minziro KITENDO cha Pamba Jiji kupewa mkwaju wa penalti dakika ya 90+7 kisha kukosa ilipotoka sare ya 1-1 na Fountain Gate, kimemshangaza zaidi kocha wa timu hiyo, Fredy Felix ‘Minziro’.
Mzimbabwe alia na mambo manne Tabora United MAMBO bado hayajaeleweka kwa Kocha mpya wa Tabora United, Genesis Mang’ombe raia wa Zimbabwe baada ya kushindwa kupata ushindi tangu atue klabuni hapo akirithi nafasi ya Mkongomani, Anicet...
Minziro: Mechi na Fountain itatupa uelekeo BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tabora United na kupaa hadi nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema mchezo ujao dhidi ya...
LEMA: Beki wa Nabi anayesotea namba Pamba KIKOSI cha Pamba Jiji ya Mwanza kimeshacheza mechi 24 za Ligi Kuu Bara, lakini katika zote beki wake wa kulia, Yunus Lema hajaonja hata dakika moja akiishia benchini ama jukwaani kutokana na...
Minziro: Ni ‘do or die’ dhidi ya Tabora United Baada ya kuambulia sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopita kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema kesho ni...
Mang’ombe akataa unyonge Tabora United Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne bila kupata ushindi huku akitaja mambo yaliyowaangusha kwenye mechi...
Pamba mambo bado, yalazimishwa sare na Namungo nyumbani Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi, kwani leo imeshindwa kufurukuta nyumbani katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
Mgunda ala kiapo Namungo, ajipa matumaini mechi saba KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema hana wasiwasi na kikosi chake kwenye vita ya kubaki Ligi Kuu Bara kwani amefanya maandalizi ya kutosha yatakayowawezesha kuvuna alama za kutosha na...
Minziro atoa kauli nzito dhidi ya Namungo KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix 'Minziro' amesema ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Mashujaa FC kwenye Kombe la Shirikisho (FA) na kutinga robo fainali umekipa kikosi chake motisha na...