ANTWI: Mghana anayeamini Simba, Yanga zitambeba Black Stars LICHA ya kuuanza msimu huu vibaya, lakini sasa unaweza kusema amejipata baada ya kupata uhakika wa namba ili kuzima dimba la kati katika kikosi cha Pamba Jiji ya Mwanza kinachopambana kujinasua...
Kilichoiponza Kirumba chatajwa, Mtanda atoa siku saba Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali, imebaibishwa kuwa eneo la kuchezea (pitch), kukosekana kwa maji...
Pamba Jiji yapata ajali, wachezaji wapo salama MSAFARA wa Pamba Jiji uliokuwa unatoka Dodoma kwenda Morogoro kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 32 Bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) dhidi ya Kiluvya United, umepata ajali alfajiri ya jana...
Vita ya 'Top Four' yaitesa Tabora United, yaanika ramani ya vita Benchi la ufundi la Tabora United, limekiri kuwa vita yake na Singida Black Stars kuwania nafasi moja mojawapo kati ya nne za juu katika Ligi Kuu Bara inawatia presha ambayo inawalazimisha...
Songo, wenzake kutibu mtihani huu JKT Tanzania Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ufungaji wa mabao ambalo benchi la ufundi limelifanyia kazi na sasa...
Mastaa Pamba Jiji wamliza Minziro KATIKA mahojiano maalumu na Mwanaspoti, kocha mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix 'Minziro' kafichua jambo ambalo liliiua timu yake dhidi ya Yanga jana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, lakini akisema...
Yanga yaendeleza dozi, yaifyatua Pamba Jiji YANGA ubingwa inautaka, baada ya kuifyatua Pamba Jiji kwa mabao 3-0, huku Bwana Harusi, Stephane Aziz Ki kufunga mara na nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo akicheza kwa mara ya kwanza...
Minziro: Hatuhitaji kuchoma sindano kucheza mechi ngumu KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix 'Minziro' amesema kutokana na upana wa kikosi chake na ubora wa kila mchezaji baada ya usajili wa dirisha dogo hawahitaji kuwachoma sindano baadhi ya...
Miloud hataki kilichoikuta Simba Katika kuhakikisha kikosi chake kinaendelea kukaa kileleni kwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud amesema wamekuja Mwanza kwa ajili ya kushinda na kupata alama tatu na...
Pamba yakwepa mtego wa Yanga DOZI nene zinazoendelea kutolewa na Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara zimelishtua benchi la ufundi la Pamba Jiji ambalo limetangaza kujipanga mapema kukwepa mtego huo kwa kuzungumza mapema na...