Mwisho wa enzi: Mahrez, Samatta, Mendy kuikosa AFCON WAKATI harakati za kusaka kufuzu kwa fainali ya Mataifa ya Afrika (PAMOJA AFCON2027) zikitarajia kuanza wiki hii tayari nyota nane wa Afrika wameamua kustaafu soka la kimataifa.
Ukuta wa Yanga wampa kazi Lucas Kikoti UKUTA wa Yanga umeonekana kuwa kikwazo kwa washambuliaji wengi msimu huu, lakini kiungo mshambuliaji wa Namungo, Lucas Kikoti, tayari ameonja ugumu wake na kuweka wazi safu anayoiona kuwa ngumu...