Nyuma ya pazia penzi la Kim Kardashian na Hamilton MWANAMITINDO wa Marekani, Kim Kardashian, 55, kwa sasa anagonga vichwa vya habari duniani kutokana na uhusiano wake na staa wa mbio za magari ya Formula 1, Lewis Hamilton, 41, kutokea Uingereza.
FEROOZ: Miaka 21 ya 'Starehe' na bado unaishi MSANII wa Bongo Fleva, Feruzi Mrisho Rehani 'Ferooz' amesema kila anapopanda jukwaani na kuimba wimbo wa Starehe unakuwa na mapokeo makubwa kama ameuandika hivi karibuni, wakati una miaka zaidi...