Simba yafuta uteja ikiitandika Yanga 2-1 KISASI NI HAKI! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuvunja uteja wa muda mrefu wa Yanga kwa kuifunga leo mabao 2-1, katika mechi ya Kariakoo Derby, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini,...
Kakolanya awapa tahadhari makipa Kariakoo Dabi KIPA wa zamani wa Simba na Yanga, Beno Kakolanya ambaye kwa sasa anaichezea Polisi Tanzania, ameizungumzia Kariakoo Dabi na tahadhari kwa makipa Djigui Diarra wa Yanga na Djibrilla Kassali wa...