Yanga yaitupa nje Gaborone United, Shalulile, Toure waking’aa Yanga imetumia vyema faida ya kucheza nyumbani, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Gaborone United ya Botswana, katika mechi ya marudiano ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa...
Touré: tulieni mabao yanakuja MSHAMBULIAJI wa Yanga, Cheikh Ibrahima Touré amesema hana presha licha ya kutofunga kwa ki-wango anachotarajia tangu alipowasili Tanzania, akisisitiza anaamini muda wake wa kufunga utafika na...