Pipino ampa tano Mkude NAHODHA msaidizi wa Singida Black Stars, Ahmed Bakari Pipino amesema kwa ushindani uliopo katika timu hiyo, umeendelea kumjenga na kupanda levo za kiuchezaji, huku akimsifu kiungo wa zamani wa...
Kocha U-23 atoa matumaini mapya KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 (U23), Hamad Ally, ameweka wazi kuwa benchi lake la ufundi na wachezaji wamefanya tathmini ya kina ili kurekebisha makosa yaliyojitokeza...