Premier Bet: November to Remember!

Muktasari:
Msisimko unafuatia kwa mafanikio ya uvunjaji rekodi ya mwezi Novemba, pamoja na uzinduzi wa mbinu mpya na rahisi za miamala mtandaoni na mchakato bora wa kubashiri kwa kutumia USSD kwa simu za vitochi nchini Tanzania
Msisimko unafuatia kwa mafanikio ya uvunjaji rekodi ya mwezi Novemba, pamoja na uzinduzi wa mbinu mpya na rahisi za miamala mtandaoni na mchakato bora wa kubashiri kwa kutumia USSD kwa simu za vitochi nchini Tanzania
Wateja wa Premier Bet nchini Tanzania walikuwa wakisherehekea mwezi Novemba baada ya kushinda zaidi ya TSH Bilioni 2 ndani ya mwezi huo! Mafanikio haya yametokana na ofa zetu za ushindani kwa kila siku pamoja na matokeo mazuri ya michezo ya kimataifa na mafanikio ya mashindano.
Sambamba na hilo tulizindua mchakato mpya wa kubashiri kwa kutumia USSD, na kuifanya iwe rahisi kubashiri na kuwafikia wachezaji wengi zaidi nchini kote. Bashiri mkeka wako kwa kuingia https://premierbetzone.com/tz/ na uanze kupanga mkeka wako. Piga *149*11# na uchague namba 2 na uingize kodi yako. Ingiza pini yako na uthibitishe ubashiri wako. Pokea ubashiri wako kupitia SMS. Malipo ni papo hapo unaposhinda.
Njia mpya na rahisi za malipo ya simu, itawafanya wateja wetu wa mtandaoni kubashiri kirahisi na kipekee. Piga *150*00# (MPESA) *150*01# (TIGOPESA) chagua 4. Kisha chagua 4 tena na uingize nam-ba ya kampuni 500700. Kisha andika PB kama namba ya kumbukumbu kumaliza kwa kuingiza kiasi na neno lako la siri.

Desemba itakuwa ya kusisimua zaidi. Pamoja na hatua nyingi za kusisimua za michezo kuwepo mwezi huu, hakuna wakati mzuri wa kubashiri na Bet Premier kama wakati huu. Kalenda ya Desemba imejaa ratiba za mechi kutoka Ligi Kuu, Bundesliga na La Liga, pamoja na michezo ya kundi la mwisho katika Ligi ya Mabingwa na Europa League. Mashabiki wa mpira wa kikapu wanaweza pia kutazamia kurejea kwa NBA mwezi huu, kwani LA Lakers wanatarajia kubaki na cheo chao cha ubingwa. Kusherehekea, Prem-ier Bet wanakuletea Raffle ya Mwisho wa Mwaka, ambapo wateja kumi wenye bahati watapokea simu mpya aina ya Samsung A51 mwanzoni mwa 2021!

Inaonekana kama hakuna kipindi bora kwa mashabiki wa michezo na wateja wa Premier Bet kote Tan-zania kama kipindi hik, Premier Bet Bashiri na Wababe!
Tukutane: Facebook @PremierTanzania Instagram @Premier_Bet Tweeter @PremierTanzania
Na kama huna Online Account, basi jisajili hapa:
https://media.premierbetpartners.com/redirect.aspx?pid=11689&bid=1988
#PremierBet bashiri na wababe!!