Rekodi 60 matata za Ligi ya Mabingwa Ulaya

LONDON,ENGLAND.
1. KLABU iliyoshinda Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi, Real Madrid
2. Nchi iliyoshinda mara nyingi taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, Hispania
3.Nchi iliyotoa wawakilishi wengi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ujerumani
4.Jiji lililokuwa mwenyeji mara nyingi fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, London
5. Nchi iliyokuwa mwenyeji wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi, Ujerumani
6. Nchi pekee yenye majiji sita tu klabu zilizochukua ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, England
7.Klabu iliyoshinda Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi kuliko ubingwa wa ndani, Nottingham Forest
8. Nje ya London, jiji jingine lililowakilishwa na timu tatu hatua ya makundi ndani ya msimu mmoja, Athens
9.Jiji pekee kuwa na timu mbili zilizofika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Madrid
10.Uwanja pekee unaotumika na timu mbili ambazo ziliwahi kukutana kwenye mtoano, San Siro
11.Klabu iliyofunga mabao mengi kwenye hatua ya makundi, Paris Saint-Germain
12.Klabu iliyopata pointi chache lakini iliongoza kundi lake, Juventus
13.Klabu iliyofuzu mfululizo hatua ya makundi, Real Madrid
14. Klabu iliyoshinda mechi nyingi za hatua ya mtoano, Real Madrid
15.Klabu iliyoshinda mechi nyingi mfululizo uwanja wa nyumbani, Bayern Munich
16.Klabu iliyocheza mechi nyingi bila ya kupoteza, Manchester United
17.Klabu iliyocheza mechi nyingi bila ya kushinda, Steaua Bucuresti
18.Klabu iliyotoka sare mechi zote sita kwenye hatua ya makundi, AEK Athens
19.Bingwa pekee wa Ligi ya Mabingwa Ulaya aliyecheza nusu fainali moja tu, Aston Villa
20.Klabu iliyoshinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa rekodi ya asilimia 100, Bayern Munich
21.Klabu iliyoshinda mechi chache na kuibuka Mabingwa Ligi ya Mabingwa Ulaya, PSV Eindhoven
22.Klabu iliyocheza fainali tatu za Ligi ya Mabingwa Ulaya na kupoteza zote, Atletico Madrid
23.Klabu ya kwanza kushinda mataji matatu msimu mmoja, Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwamo, Celtic
24.Klabu ya kwanza kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ulipoanzishwa (1993), Juventus
25.Klabu iliyoshinda kwa idadi kubwa ya mabao ya jumla kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Benfica
26.Mchezaji aliyecheza mechi nyingi Ligi ya Mabingwa Ulaya, Cristiano Ronaldo
27.Mchezaji aliyefunga mabao mengi, Cristiano Ronaldo
28.Mchezaji mwenye umri mdogo kushinda tuzo ya ufungaji bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Erling Haaland
29.Mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga kwenye msimu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ferenc Puskas
30.Mchezaji pekee kuwa kinara wa mabao Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Dunia na Euro, Gerd Muller
31.Mchezaji pekee kufunga hat-trick akiwa na klabu tatu tofauti, Robert Lewandowski
32.Mchezaji mwenye umri mdogo kufunga hat-trick kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Raul
33.Mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga bao Ligi ya Mabingwa Ulaya, Francesco Totti
34.Mchezaji mdogo zaidi kufunga bao kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ansu Fati
35.Mchezaji aliyefunga bao la haraka zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya, Roy Makaay
36.Mchezaji aliyezifungia klabu sita tofauti kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Zlatan Ibrahimovic
37.Mchezaji pekee kufunga bao kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa League, Diego Godin
38.Mchezaji aliyefunga bao fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Kombe la Dunia, Mario Mandzukic
39.Mchezaji aliyepiga asisti nyingi Ligi Mabingwa Ulaya, Cristiano Ronaldo
40.Mchezaji pekee aliyeshinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na klabu tatu tofauti, Clarence Seedorf
41.Mchezaji wa mwisho kushinda ubingwa mara mbili mfululizo na timu mbili tofauti, Samuel Eto’o
42.Mchezaji wa mwisho kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na Kombe la Dunia mwaka mmoja, Raphael Varane
43.Mchezaji aliyeshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na Copa Libertadores mwaka mmoja, Willy Caballero
44.Mchezaji mwenye umri mkubwa kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, Marco Ballotta
45.Mchezaji kijana kucheza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Youssoufa Moukoko
46.Kipa aliyeokoa penalti nyingi Ligi ya Mabingwa Ulaya, Iker Casillas
47.Kipa aliyedaka mechi nyingi bila ya kuruhusu bao, Jens Lehmann
48.Mchezaji aliyeshinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na klabu mbili baada ya mwaka 1993, Daniel Sturridge
49.Mchezaji pekee aliyefunga bao fainali ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu yake ya zamani, Kingsley Coman
50.Mchezaji pekee aliyeshinda ubingwa mara sita, Francisco Gento
51.Kocha aliyekaa benchi kwenye mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, Sir Alex Ferguson
52.Kocha pekee kushinda mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Carlo Ancelotti
53.Kocha wa mwisho kupoteza mechi zote tatu za fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jurgen Klopp
54.Mtu wa mwisho kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya kama mchezaji na Kocha, Zinedine Zidane
55.Kocha pekee kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara mbili mfululizo na klabu mbili tofauti, Thomas Tuchel
56.Nchi iliyotoa makocha wengi walioshinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, Italia
57.Mtu pekee kushinda ubingwa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Dunia na Euro akiwa kocha, Vicente Del Bosque
58.Kocha wa mwisho kushinda Europa League na Ligi ya Mabingwa Ulaya ms imu uliofuata, Rafael Benitez
59.Kocha mwe nye umri mdogo kus hinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Pep Guardiola
60.Refa aliyecheza mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, Felix Brych.