Video Asilimia 80 za sajili bongo ni za mchongo, Namungo ya Makanga, Barola na Bigirimana ilikuwa ya moto Jumanne, Oktoba 20, 2026
Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe MSHINDI wa tuzo ya Ballon d’Or 2026 atatangazwa Leo, Jumatatu, lakini hadi sasa haijabainika wazi ni nani atakayeibuka na tuzo hiyo inayotamaniwa zaidi katika soka la mtu mmoja mmoja.