Video Nassor Yanga awavulia kofia gaborone united "Manqoba akifikisha mitano, tutacheza na yoyote Afrika" Jumapili, Septemba 13, 2026
Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe MSHINDI wa tuzo ya Ballon d’Or 2026 atatangazwa Leo, Jumatatu, lakini hadi sasa haijabainika wazi ni nani atakayeibuka na tuzo hiyo inayotamaniwa zaidi katika soka la mtu mmoja mmoja.