Video Nondo za shabiki Yanga kiboko ya wachambuzi, ampasua Manqoba sub ya Aziz KI, Gaborone ikifa 2-1 Jumapili, Septemba 13, 2026
Huku ukizubaa tu umeachwa LIGI ya Championship msimu wa 2026/27, imeendelea leo Jumamosi kwa michezo mitatu, huku kesho Jumapili vinara wa ligi hiyo, KMC, wakitarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara...