Video Zaka Zakazi afunguka maandalizi ya mwisho walivyojipanga kui-pa dozi Simba uwanja wa Azam Complex Jumanne, Septemba 15, 2026
Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe MSHINDI wa tuzo ya Ballon d’Or 2026 atatangazwa Leo, Jumatatu, lakini hadi sasa haijabainika wazi ni nani atakayeibuka na tuzo hiyo inayotamaniwa zaidi katika soka la mtu mmoja mmoja.