Search

18 results for Sadam Sadick :

  1. Mboneke gumzo Sokoine,  Mgunda ampa tano Mwamnyeto

    ACHANA na matokeo ya ushindi wa mabao 2-1 iliyopata timu Mwamnyeto dhidi ya Mbeya All Stars, burudani ilikuwa kwa mchekeshaji, Oscar Mwanyanje 'Mc Mboneke' aliyeteka mashabiki kwenye Uwanja wa...

    New Content Item (1)
  2. Ahmad, Prisons ndo basi tena, Makatta kumrithi

    WAKATI Tanzania Prisons ikithibitisha kocha Ahmad Ally, amevunja mkataba, muda wowote Maafande watamtangaza Mbwana Makata kuiongoza timu hiyo msimu ujao wa mashindano.

  3. Ken Gold yataka mastaa wa Ligi Kuu

    Ken Gold imesema itakuwa makini kufuatilia mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) ili kupata wachezaji watakaojumuishwa katika kikosi cha timu hiyo msimu ujao.

  4. Ken Gold yaanza kusaka kocha mpya, yapokea CV kibao

    WAKATI idadi ya makocha wanaoomba kibarua Ken Gold ikizidi kuongezeka, uongozi wa timu hiyo umesema mbali na vigezo vya elimu, unataka kocha mwenye historia ya matokeo mazuri.

  5. Kocha Prisons hali tete, aiwaza Coastal

    Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally ameanza kuonja joto la jiwe kufuatia matokeo yasiyoridhisha anayoendelea kupata na kumuweka katika wakati mgumu.

  6. Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi

    MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu 'Pembe' amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo...

  7. Kipa wa Simba SC mama’ke ni Yanga

    MAMA mzazi wa kipa wa Simba, Hussein Abel, Mwaija Husein Fadhir amekiri kuwa yeye ni Yanga damu lakini hilo halihusiani na kazin ya mwanae. Amesema mchezo wa dabi anaiombea sana ushindi chama...

  8. Kocha: Wazir anastahili kuwamo Stars

    Mbeya. Wakati baadhi ya wadau na mashabiki wa soka nchini wakihoji kukosekana kwa straika Waziri Junior katika kikosi cha timu ya Taifa ' Taifa Stars' Kocha Mkuu wa KMC, Abdulhamid Moalin amesema...

  9. Mbangula atengewa ufalme Prisons

    KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally, ameangalia vita ya ufungaji bora kwenye Ligi Kuu Bara na kumsukia mkakati straika wake, Samson Mbangula kuhakikisha anachomoza kwenye kinyang’anyiro...

  10. Huyo Mwajanga ni tishio Championship

    LICHA kuachwa kwa idadi ya mabao, lakini straika wa Mbeya Kwanza, Oscar Mwajanga ameweka rekodi na kuwafunika mastaa wote Championship, huku akiiwezesha timu yake kuwa nafasi ya nne kwenye...

Page 1 of 2

Next