Pipino ampa tano Mkude NAHODHA msaidizi wa Singida Black Stars, Ahmed Bakari Pipino amesema kwa ushindani uliopo katika timu hiyo, umeendelea kumjenga na kupanda levo za kiuchezaji, huku akimsifu kiungo wa zamani wa...