Hapatoshi safari ya kufuzu AFCON 2027 MBIO za kuwania nafasi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 zinazotarajiwa kufanyika Tanzania, Kenya na Uganda, zinatarajiwa kupamba moto kuanzia wiki hii, huku timu za taifa za...