FEROOZ: Miaka 21 ya 'Starehe' na bado unaishi MSANII wa Bongo Fleva, Feruzi Mrisho Rehani 'Ferooz' amesema kila anapopanda jukwaani na kuimba wimbo wa Starehe unakuwa na mapokeo makubwa kama ameuandika hivi karibuni, wakati una miaka zaidi...
Cedric Kaze kazi ipo Kagera Sugar KOCHA Cedric Kaze ametua Kagera Sugar akiwa amebeba kazi nzito kuliko kutafuta ushindi wa mechi. Ameingia kwenye timu inayohitaji kubadilisha mwelekeo haraka huku ikiwa na changamoto kadhaa za...