Video Shabiki Simba alia kama mtoto kisa kufungwa na yanga bao 1-0 "viongozi wetu wanapenda haya matokeo" Alhamisi, Agosti 13, 2026
Zuberi Katwila aipigia hesabu kali Yanga GEITA Gold inaendelea na maandalizi ikiwasubiri Yanga kumaliza ratiba ya mechi za kimataifa. Sasa kocha wa kikosi hicho, Zuberi Katwila amefunguka hesabu zake kuelekea mchezo huo dhidi ya...