Video Mzee Dalali: Viongozi wetu tunaomba mrudishe logo yenye Simba aliyesimama, hii ya sasa inatuponza Ijumaa, Agosti 14, 2026
Zuberi Katwila aipigia hesabu kali Yanga GEITA Gold inaendelea na maandalizi ikiwasubiri Yanga kumaliza ratiba ya mechi za kimataifa. Sasa kocha wa kikosi hicho, Zuberi Katwila amefunguka hesabu zake kuelekea mchezo huo dhidi ya...