Search

18 results for Sadam Sadick :

  1. Yanga ikimbana Shalulile, Mamelodi inang’oka CAF

    KIUNGO Mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Ally Msengi amesema Yanga ina uwezo wa kushinda mechi za robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns, lakini akiitahadharisha ihakikishe inakuwa makini na...

  2. Wawili Prisons waisubiri Azam FC

    Kasi ya Tanzania Prisons kwenye mechi iliyopita imempa kiburi kocha mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally akitamba kuwa Azam nao lazima wapigwe nyingi.

  3. Kissu awafunika Diarra, Manula

    Kipa wa Biashara United, David Kissu Mapigano ameweka rekodi msimu huu katika Ligi ya Championship baada ya kufunga bao, huku akiwapiku pia makipa wengine wakiwemo wa Ligi Kuu Bara kama Aishi...

  4. Championship ni vita ya wababe 'TOP FOUR'

    Wakati Ligi ya Championship ikisimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), vita imehamia kwa vigogo wanaoshika nafasi nne za juu kuwania nafasi mbili za kupanda Ligi...

  5. Msengi: Kule nje narudi ila simba, yanga nafasi ipo tu

    “NAJIPANGA upya.” Ndivyo anavyoeleza mchezaji, Ally Msengi aliyerejea tena Tanzania baada ya kwenye soka la kulipwa Afrika Kusini akiitumikia Stellenbosch ya Ligi Kuu nchini humo. Nyota huyo...

  6. Hausung yamkomalia Pacome

    TUTASHANGAZA. Ni kauli iliyoitoa Hausung FC wakati ikijiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Yanga unaotarajia kupigwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Azam Complex...

  7. Afcon ilivyommaliza nyota Stars

    MASHINDANO makubwa huwa daraja la kuwavusha wachezaji wengi kutoka timu za kawaida na kwenda timu kubwa endapo watafanya vizuri. Hiki ndicho kilichotokea kwa James Rodriguez, nyota wa Colombia...

  8. Balua, Simba ni suala la muda tu

    Simba wakati wowote itamtambulisha rasmi winga mpya Edwin Balua baada ya kumalizana naye kila kitu.

Previous

Page 2 of 2