Barcelona imetwaa ubingwa wa wa 29 wa La Liga kwa kuvuna pointi 91 kaika mechi 35 ilizocheza hadi sasa katika msimu wa 2025/26.
Barcelona imetangazwa mabingwa kwenye El Classico dabi baada ya kuitandika Real Madrid mabao 2-0 yakifungwa na Marcus Rashford na F. Torres.
Wakati Barcelona ikibeba ubingwa wa 29, Real Madrid ndio timu inayoshikilia rekodi ya La Liga ya kutwaa ubingwa mara nyingi zaidi ikibeba mara 36.