Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Dili la Simba lakwama Uganda

Okelo Pict

Muktasari:

  • Simba ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kumalizana na Bravos ya Angola katika mechi ya raundi ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, ina mipango ya kutaka kuongeza mashine mpya kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa keshokutwa Jumatano, lakini imekumbana na kigingi kwa Vipers.