Isak aanza kulipa Liverpool IMECHUKUA muda, lakini mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza kuonyesha thamani ya fedha zilizotumika kumsajili kutoka Newcastle United kwa ada ya rekodi ya Uingereza ya pauni 125...