Tanzania V Sudan... Vita ya taji CECAFA HATIMAYE leo mashindano ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana U-20, CECAFA yanahitimishwa huku ikipigwa fainali inayowakutanisha wenyeji Tanzania maarufu Ngorongoro Heroes dhidi ya Sudan, mechi...
Kipa Azam: Kwa mashuti moto kwanini usivurugwe? BAADA ya msimu mmoja wa kuitumikia KMC kwa mkopo, mlinda mlango Hamisi Athuman amerejea rasmi kwenye klabu ya Azam FC, akiwa na kiu ya kutumia fursa hiyo kujijenga zaidi na kutimiza ndoto zake za...