Video "Vishoka wengi wataibuka, usivuke Tabata" Simba yatoa tamko Dabi Ya Kariakoo kima cha chini Sh15,000 Jumatatu, Mei 04, 2026
Cole Palmer adaiwa kuchoshwa Chelsea KIUNGO mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer inadaiwa kuzidi kukata tamaa na maisha ndani ya klabu hiyo na sasa yupo tayari kuangalia uwezekano wa kuondoka Stamford Bridge dirisha hili la usajili.
Pambano la Fury, Joshua lazua utata PROMOTA wa bondia Anthony Joshua, Eddie Hearn amesema pambano kubwa linalosubiriwa kwa hamu kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury limepangwa kufanyika Uingereza na litahamishiwa Marekani ikiwa...