Video GSM afunguka haya baada ya kutia saini ujenzi uwanja mpya yanga, Ali Kamwe arusha jiwe gizani! Jumapili, Mei 17, 2026
Darassa, Harmonize wanaendelea walipoishia! RAPA kutokea Classic Music Group (CMG), Darassa kwa mara nyingine tena ameshirikiana na mwimbaji wa Bongofleva, Harmonize ambaye ni mwanzilishi wa Konde Music Worldwide.
Wakongwe Bongo Fleva wanaotikisa Gen Z WAPO baadhi ya wasanii wakongwe wa Bongo Fleva ambao wakipanda jukwaani, wana ushawishi mkubwa mbele ya kizazi cha Gen Z ambacho hakipendi mambo magumu.