Video Kimeumana Isamuhyo usiku huu! Simba, Yanga wakipishana kufanya mazoezi ya mwisho dabi ikipigwa kesho Jumatatu, Mei 04, 2026
Florent Ibenge aigomea Mali DILI la kocha Mkuu wa Azam FC Florent Ibenge kwenda Mali limebuma, huku sababu kubwa ikitajwa ni bosi huyo kugoma kwenda nchini humo kwa kuwa anataka kubaki Tanzania.
Enciso kuongoza ndoto za Paraguay Kombe la Dunia 2026 PARAGUAY itashiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 ikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri baada ya kurejea kwenye mashindano hayo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2010, Afrika Kusini.