Video Pedro: Fainali ya Muungano haina uhusiano na Dabi ya kesho, ajifukiza kuiua Simba, Tshabalala asema! Jumatatu, Mei 04, 2026
Cole Palmer adaiwa kuchoshwa Chelsea KIUNGO mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer inadaiwa kuzidi kukata tamaa na maisha ndani ya klabu hiyo na sasa yupo tayari kuangalia uwezekano wa kuondoka Stamford Bridge dirisha hili la usajili.
Pambano la Fury, Joshua lazua utata PROMOTA wa bondia Anthony Joshua, Eddie Hearn amesema pambano kubwa linalosubiriwa kwa hamu kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury limepangwa kufanyika Uingereza na litahamishiwa Marekani ikiwa...