Video Shabiki Yanga atamba alivyokesha usiku mnene kulinda uwanja wa Isamuhyo ili Yanga ipate ushindi ...! Jumapili, Mei 17, 2026
Florent Ibenge aigomea Mali DILI la kocha Mkuu wa Azam FC Florent Ibenge kwenda Mali limebuma, huku sababu kubwa ikitajwa ni bosi huyo kugoma kwenda nchini humo kwa kuwa anataka kubaki Tanzania.
Enciso kuongoza ndoto za Paraguay Kombe la Dunia 2026 PARAGUAY itashiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 ikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri baada ya kurejea kwenye mashindano hayo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2010, Afrika Kusini.