Dah! Chiesa awekwa sokoni Liverpool kina Salah wakibaki WAKATI Liverpool imefanikiwa kuwabakisha mastaa wake wawili Mohamed Salah na Virgil van Dijk, klabu hiyo inahitaji Pauni 17 milioni katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kumuuza...
Kevin De Bruyne kambi kokote KIUNGO wa Manchester City, Kevin De Bruyne ambaye anatarajiwa kuondoka mwisho wa msimu huu, amesema yupo tayari kupokea ofa ya kucheza kokote ifikapo dirisha lijalo la majira ya kiangazi hata...
Ratcliffe Man United ni sehemu tu ya anavyomiliki, ni tajiri haswa MOJA ya stori kubwa katika nchini wiki iliyopita ni ujio wa bilionea mmiliki wa klabu ya Manchester United ya Ligi Kuu England, Jim Ratcliffe.
Camara, Djigui wakomaliwa KIPA Patrick Munthary wa Mashujaa, ameweka wazi kuongeza ushindani wa kupambana kubaki ndani ya nafasi ya tatu kwa makipa wanaoongoza kwa kutoruhusu mabao kwenye Ligi Kuu (Clean Sheet).
Real Madrid, Saliba ngoma yawekwa kando REAL Madrid wanapanga kusubiri kwa muda katika harakati za kumsajili beki wa kati wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, William Saliba, mwenye umri wa miaka 24.
NDOTO: Kocha Barcelona akili iko kwenye mataji matatu tu KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick amepuuza wazo la kusaini mkataba wa muda mrefu na Barcelona licha ya kuwekewa ofa mezani na badala yake anataka kuwekeza akili yake kwenye kushinda mataji matatu...
Gundogan ataja tatizo kushuka kwa Man City KIUNGO wa Manchester City, Ilkay Gundogan amesema kati ya vitu vilivyochangia kushuka kwa kiwango cha timu ni baadhi ya wachezaji kupoteza hamu ya kutawala na kushinda mechi kama ilivyokuwa zamani.
Kikao kizito... Rashford, Amorim kuyamaliza kikubwa KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim atafanya mazungumzo na mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford mwisho wa msimu kujua hatma yake ikiwa atarudishwa kikosini au ataondoka jumla.
Arsenal mambo safi KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kwamba mastaa wake Declan Rice na Bukayo Sako wako freshi na kufichua kuwa huenda Kai Havertz akarejea kabla ya msimu huu kumalizika.
PRIME Simba CAFCC na maajabu ya 1993 SIMBA imekata mzizi wa fitina. Imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kusota kwa muda mrefu.