Timu ya Mbappe yashuka, mashabiki wawaka MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe ameendelea kuandamwa na jinamizi baada ya mashabiki wa timu ya Caen anayoimiliki iliyokuwa inashiriki Ligi Daraja la Pili Ufaransa (Ligue 2) kushuka...
Mke wa kocha Man United asimuliwa alivyotimuliwa LICHA ya mafanikio makubwa akiwa na klabu kubwa Ulaya, Louis van Gaal hajawahi kuvunjwa moyo kama ilivyotokea alipokuwa kocha wa Manchester United.
Arteta ataja sababu kuukosa ubingwa EPL KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amedokeza kuwa majeraha na kadi walizokutana nazo msimu huu ni sababu ya timu hiyo kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu England.
Viktor Gyokeres anaitaka Arsenal, Chelsea yatoa macho CHELSEA inavutiwa kumsajili mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, mwenye umri wa miaka 26, lakini staa huyo wa kimataifa wa Sweden anapendelea kutua kwa mahasimu wa London, Arsenal.
Tabora United yamtimua Mzimbabwe, yamleta Mzambia Uongozi wa Tabora United jana usiku, Aprili 18, 2025 umetangaza kuachana na kocha Genesis Mangombe kutoka Zimbabwe kutokana na mwenendo usiovutia kwenye Ligi.
Kocha Chelsea afunguka njia wanayopita WAKATI ligi ipo kwenye nusu ya mzunguko wa kwanza, Chelsea ilikuwa ikionekana kuwa mpinzani halisi wa Liverpool katika mbio za ubingwa.
MAAJABU YA MUNICH: PSG, Arsenal historia inawabeba YANAWEZA yakawa ni maajabu. Ndiyo, kama ni Arsenal au Paris Saint Germain atakayecheza fainali na kubeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya utakuwa ni mwendelezo maajabu ya fainali zinazopigwa...
Euro 10 milioni kumng’oa Alonso Leverkusen REAL Madrid italazimika kulipa Euro 10 milioni ili kuvunja mkataba wa Kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso inayohusishwa naye kwa muda mrefu,
PRIME Wachezaji Simba waongezewa mzuka, watangaziwa dau nono SIMBA inahesabu saa kabla ya kushuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Sauzi katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mfadhili wa zamani...
Waarabu wa Saudia wanamtaka Ancelotti MABOSI wa chama cha soka cha Saudi Arabia wanaripotiwa wapo kwenye mazungumzo na wawakilishi wa kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ambaye huenda akaachana na timu yake mwisho wa msimu huu.