Mrembo Mkenya anayetetemesha Hollywood HOLLYWOOD ni maskani ya wanawake warembo na wenye vipaji. Kiwanda namba moja cha filamu duniani, ambapo wanawake na mabinti wazuri waigizaji wamekuwa wakiibukia kila kukicha.
Lupita Nyong'o: Alichati na Ferguson kabla ya kutwaa tuzo LOS ANGELES, MAREKANI ULIKUWA usiku wa machozi ya furaha kwa washiriki na wahusika wa filamu ya ‘12 Years A Slave’, wakati filamu hiyo iliponyakua tuzo ya Oscar ya Filamu Bora juzi Jumapili...
Yanga: Al Ahly mkiingia tunawachinja >WIKIENDI hii zinachezwa mechi 16 za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini macho ya Afrika nzima yapo Dar es Salaam ambapo mabingwa watetezi wa mashindano hayo, Al Ahly, itacheza...
Yanga yamtuma kocha Mkwasa Misri >YANGA imemtuma kocha wake msaidizi, Boniface Mkwasa nchini Misri kuangalia mechi baina ya Al Ahly na Safaxien ya Tunisia kwenye mechi maalum ya Super Cup itakayochezwa kesho kutwa Alhamisi...
Yanga yawaacha Kaseja, Okwi safari ya Comoro JESHI la wachezaji 19 la kikosi cha Yanga linaondoka leo Alhamisi alfajiri kuifuata Komorozine ya Comoro, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Hans Van Pluijm amewatema nyota kumi kwenye msafara wake...
Yanga yaitungua Mbeya City, Azam yafanya kufuru TANGU kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14 kuna wanaume wawili tu waliokuwa hawajapoteza mechi yoyote kwenye Ligi.
NYUMA YA PAZIA: Kaisari anapomkumbatia zaidi Kaisari mwenzake >YUKO wapi yule aliyesema ya Kaisari mwachie Kaisari? Alikuwa anamaanisha kuwa mambo ya pesa au ya kidunia tuwaachie wenye dunia yao. Hakukosea sana. Sijawahi kusikia manabii wa zamani wakikosea.
Kauli za Jose Mourinho zilizotamba kwenye soka >JOSE Mourinho alipokwenda Old Trafford msimu huu na kikosi chake cha Chelsea kucheza na Manchester United kwenye Ligi Kuu England alichokifanya ni kupanga viungo na mabeki tu, huku timu yake...
Yanga, Costal Union zashindwa kuonyeshana ubabe VUMBI la Kiarabu limetimka mjini Tanga baada ya timu mbili ambazo ni Yanga na Coastal Union zilizokuwa zimepiga kambi kwenye nchi za Kiarabu kushindwa kuonyeshana ubabe.
Simba walioiua Yanga 5-0 wamebaki wawili tu >JUMAPILI ya Mei 6, 2012 kamwe haiwezi kusahaulika miongoni mwa wanachama na mashabiki wa Yanga baada ya timu yao kufungwa mabao 5-0 na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa...