Kiama,Arsenal mdomoni mwa vigogo MARA kipyenga kinapulizwa, Arsenal dhidi ya Real Madrid kwenye mtoano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Brandts: Tupo tayari kuizima Simba YANGA imefanya mazoezi kwa wiki tatu sasa huku zikiwa zimebaki siku saba tu kupambana na watani zao Simba, lakini kocha wa timu hiyo, Ernest Brandts amewasifu wachezaji wake kwa kusema wameiva na...
Straika hatari afunga usajili Jangwani YANGA ina nafasi moja tu ya kusajili na hadi sasa viongozi wanakuna vichwa kuhusu nani asajiliwe na kwa nafasi ipi kati ya straika au beki wa kushoto atakayemudu kucheza winga pia.
Brandts ataka kambi Hispania >KOCHA wa Yanga, Ernest Brandts, amefurahia usajili wa wachezaji wawili walionaswa hivi karibuni, lakini akasema: “Hapa bado straika mmoja tu mkali, ili tufanye vizuri Afrika.”
Yanga yaishtukia Simba >WACHEZAJI 15 wa mabingwa wa soka nchini, Yanga wapo sokoni kutokana na mikataba yao kubakiza miezi sita tu, lakini Yanga wameshitukia dili na wanachotaka kufanya kwanza ni kuwasainisha...
Wahispania na ukocha wa soka England >KWA miaka mingi haikuwa rahisi kuwashawishi mashabiki wa soka wa England kwamba Hispania ni wachezaji mahiri wa soka.
Mtaijua Yanga, yagaragaza maafande Dar >YANGA imeipiga JKT Ruvu mabao 4-0 na kukalia usukani wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kufikisha pointi 25. Kwa matokeo hayo benchi la ufundi pamoja na wachezaji wake...
Yanga yatakata Dar, Simba yabanwa YANGA ikipukutisha mastaa wake wengi wa kikosi cha kwanza, iliichapa Rhino Rangers mabao 3-0 huku Simba ikishindwa kuishusha Azam kwenye usukani wa Ligi Kuu Bara.
Brandts awatupa jukwaani Cannavaro, Barthez YANGA iliipiga Rhino ya Tabora mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa jana Jumatano lakini beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na kipa Ally Mustapha ‘Barthez’ wanaosengenywa na mashabiki wameingia mitini na...
Mazoezi ya Moyes kero kwa Van Persie STRAIKA Mdachi, Robin van Persie ana mabao manne tu kwenye Ligi Kuu hadi sasa baada ya mechi nane. Amezidiwa na mastraika wengine kama Daniel Sturridge, Sergio Aguero na Loic Remy.