Serengeti Girls isikate tamaa, nafasi ipo JUZI Jumamosi, timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 ilicheza dhidi ya Afrika Kusini mechi ya kwanza wa raundi ya pili ya kusaka tiketi ya Kombe la Dunia kwa wanawake chini ya miaka 17.