Lewandowsk kuikosa El Classico STRAIKA wa Barcelona, Robert Lewandowski anatarajiwa kuukosa mchezo wa El Classico dhidi ya Real Madrid baada ya kupata majeraha ambayo yatamweka nje kwa Zaidi ya wiki tatu.
ATM YA WIKI: Mo Salah mkataba mpya, utajiri mpya MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027.
Watkins, Marcus Rashford kupishana Man United MANCHESTER United inaangalia uwezekano wa kufanya mabadilishano na Aston Villa na inataka kumtumia Marcus Rashford ili wampate Ollie Watkins.
Soweto Dabi inapoipeleka shule Kariakoo Dabi KAMA wewe ni shabiki wa Yanga au Simba na una tabia ya kununua tiketi siku ya mchezo pindi timu hizo zinapokutana katika Kariakoo Dabi, basi soma hii.
Kocha: Maguire aanze mbele KOCHA wa zamani wa Tottenham Hotspur, Harry Redknapp amesema angekuwa anaifundisha Manchester United kwa sasa, basi straika wake namba moja angemfanya kuwa Harry Maguire kutokana na namna...
Orlando Magic ni mwaka wao? KOCHA wa Orlando Magic, Jamahl Mosley amekuwa kwenye NBA miaka 20, lakini hajawahi kushuhudia msimu wa ajabu kama huu ambao wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wa Magic wamepitia.
Ronaldo, Toney wana bato lao WAKATI timu ya Cristiano Ronaldo, Al Nassr ikitarajiwa kuukosa tena ubingwa wa Ligi Kuu Saudi Arabia (SPL), gwiji huyo anakumbana na ushindani mwingine katika kuwania kiatu cha mfungaji bora...
Timu ya Mbappe yashuka, mashabiki wawaka MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe ameendelea kuandamwa na jinamizi baada ya mashabiki wa timu ya Caen anayoimiliki iliyokuwa inashiriki Ligi Daraja la Pili Ufaransa (Ligue 2) kushuka...
Mke wa kocha Man United asimuliwa alivyotimuliwa LICHA ya mafanikio makubwa akiwa na klabu kubwa Ulaya, Louis van Gaal hajawahi kuvunjwa moyo kama ilivyotokea alipokuwa kocha wa Manchester United.
Arteta ataja sababu kuukosa ubingwa EPL KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amedokeza kuwa majeraha na kadi walizokutana nazo msimu huu ni sababu ya timu hiyo kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu England.