Nooij: 4-3-3 iliichakaza Zimbabwe >KOCHA wa Taifa Stars, Martinus Nooij amefichua siri ya kikosi chake kulazimisha sare ya mabao 2-2 ugenini dhidi ya Zimbabwe katika pambano la kusaka tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la
Stars yainyoosha Zimbabwe >TAIFA Stars imesonga mbele katika mechi za kuwania kufuzu Kombe la Afrika 2015 baada ya jana Jumapili kutoka sare ya mabao 2-2 na Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Pluijm alivyoishi miezi sita Yanga ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amebakiza wiki moja kuanza kibarua chake kipya katika klabu ya Al Sholah ya Saudi Arabia ambayo ilikuwa inamwinda kwa zaidi ya miezi sita.
Kina Samatta wanyang’anywa simu >KOCHA wa Taifa Stars,Mart Nooij ameanza kazi na staili yake. Bosi huyo aliwapokonya simu wachezaji wote siku moja kabla ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Zimbabwe ambapo Stars ilishinda bao...
Big Phil na falsafa ya Pereira BIG Phil ametaja kikosi chake cha mwisho bila ya kumjumuisha Coutinho wa Liverpool, wapo wadau wa soka wengi wanalalamika kwa nini kijana asipewe nafasi kwenye kikosi, yawezekana wanaosema hivyo...
Ni majina tu ndio yatawabeba mastaa hawa kwenye klabu zao >UMEFIKA wakati wa klabu za Ulaya kupigana vikumbo kwenye kusaka nyota wapya kwa ajili ya kuboresha vikosi vyao kabla ya msimu mpya kuanza.
Wanasoka waliowahi kurushiwa ndizi MTU mweusi aliyekuwa staa wa Watford enzi hizo, Luther Blissett, aliwahi kusema hivi: “Sikuwahi kununua matunda kwa sababu walikuwa wanikitupia ndizi nyingi sana.”
Kwa Mtanzania mwaka 2022 ni mbali sana! MWANADAMU ameendelea kuishi maisha ya kibinafsi, hasa katika nchi inayoitwa Tanzania. Anaiwaza zaidi siku ya leo. Anaitazama vema jioni ya leo. Kesho ni siku nyingine. Hana habari nayo.
Kocha mpya Stars amchenjia Yondani KOCHA mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij, ameanza kazi na beki mahiri wa Tanzania, Kelvin Yondani. Beki huyo awali aliitwa kwenye kikosi kilichopigwa mabao 3-0 na Burundi, lakini akaingia mitini.
Tutawa-miss Simba & Yanga >NI mara chache sana Simba na Yanga kucheza kati yao na wachezaji kupona katika tuhuma za kuuza au kununua mechi.