Yanga wafanya vitu saa tatu, yaifumua Chipukizi ya Pemba
BAADA ya kuifunga Chipukizi ya Pemba mabao 2-1 jana Jumatano, Kocha wa Yanga, Ernest Brandts, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kwamba mambo yanakwenda sawa hivyo wasiwe na mchecheto...