Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Nyuma ya pazia mabao ya Cristiano Ronaldo

RONALDO Pict

Muktasari:

  • Ronaldo alikuwa mchezaji wa pili wa kiume kuvuka mabao 100 kwenye soka la kimataifa, akivuka rekodi ya mkali wa zamani wa Iran, Ali Daei, aliyefunga 109.

LISBON, URENO: SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ameandika rekodi mpya ya dunia baada ya kufikisha mabao 140 kwenye soka la kimataifa akiwa anakitumikia kikosi cha Ureno.

Ronaldo alikuwa mchezaji wa pili wa kiume kuvuka mabao 100 kwenye soka la kimataifa, akivuka rekodi ya mkali wa zamani wa Iran, Ali Daei, aliyefunga 109.

Staa huyo amefikisha mabao 140 katika mechi 222 za kimataifa. Lakini, unataka kufahamu amefungaje? Timu gani ameifunga mara nyingi? Nani ameasisti mabao yake mengi?

RONA 01

Muda gani Ronaldo ni hatari?

Mzuka wa Ronaldo kwenye kufunga mabao akiwa na timu ya taifa ni tofauti na ambavyo amekuwa akifanya anapokuwa na kikosi cha klabu, hasa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya ambako amekuwa moto zaidi kwenye kipindi cha pili. Ronaldo amekuwa na rekodi ya mabao machache kati ya dakika 11 na 20 ya mchezo anapokuwa na Ureno, lakini ni hatari kubwa kwenye kupindi cha pili kuanzia dakika ya 76 hadi mwisho wa mchezo.

Dakika 1–10: mabao 13 (penalti 5)

Dakika 11–20: mabao 5 (penalti 1)

Dakika 21–30: mabao 16 (penalti 4)

Dakika 31–40: mabao 16 (penalti3)

Dakika 41–mapumziko: mabao 7

KIPINDI CHA KWANZA: mabao 57

Dakika 46–55: mabao 13 (penalti 1)

Dakika 56–65: mabao 19 (penalti 2)

Dakika 66–75: mabao 13 (penalti 2)

Dakika 76–85: mabao 18 (penalti2)

Dakika 86–mwisho: mabao 20 (penalti 1)

KIPINDI CHA PILI: mabao 83

RONA 02

Ronaldo amefungaje mabao yake?

Mguu wa kulia wa Ronaldo ni hatari sana kwenye kufunga mabao katika soka la kimataifa na amefunga mara chache kwa mguu wa kushoto, lakini ni machache zaidi kwa kichwa.

Mguu wa kushoto: mabao 32

Mguu wa kulia: mabao 80

Kichwa: mabao 28

Friikiki: mabao 11

Kawaida: mabao 108

Penalti: mabao 21

RONA 03

Timu gani Ronaldo amezifunga mara nyingi kimataifa?

Luxembourg ni timu iliyoonewa sana na Ronaldo kwenye orodha ya timu pinzani alizowahi kukutana nazo kwenye soka la kimataifa, akiifunga nchi hiyo mara 11 katika mechi 11.

Andorra: 6

Argentina: 1

Armenia: 7

Azerbaijan: 2

Belgium: 3

Bosnia&Herzegovina: 4

Cameroon: 2

Croatia: 2

Cyprus: 2

Czechia: 2

Denmark: 4

Ecuador: 1

Egypt: 2

Estonia: 4

Faroe Islands: 4

Finland: 1

France: 2

Germany: 2

Ghana: 2

Greece: 1

Hungary: 6

Iceland: 2

Iran: 1

Israel: 1

Kazakhstan: 2

Latvia: 5

Liechtenstein: 3

Lithuania: 7

Luxembourg: 11

Morocco: 1

Netherlands: 4

New Zealand: 1

Northern Ireland: 3

North Korea: 1

Panama: 1

Poland: 4

Qatar: 1

Republic of Ireland: 4

Russia: 3

Saudi Arabia: 2

Scotland: 1

Serbia: 1

Slovakia: 3

Spain: 4

Sweden: 7

Switzerland: 5

Ukraine: 1

Wales: 1

RONA 04

Nani ameasisti mara nyingi mabao ya Ronaldo?

Kwenye ishu ya wachezaji waliomtengezea pasi nyingi za mabao Ronldo kwenye soka la kimataifa ni Ricardo Quaresma na Joao Moutinho, ambapo kila mmoja alifanya hivyo mara nane.

Andre Gomes: 1

André Silva: 1

Bernardo Silva: 6

Bruno Fernandes: 3

Fábio Coentrão: 2

Deco: 5

Diogo Jota: 6

Diogo Dalot: 1

Gelson Martins: 1

Gonçalo Guedes: 3

Gonçalo Inácio: 1

Gonçalo Paciência: 1

Hugo Almeida: 1

Hugo Viana: 1

João Cancelo: 1

João Mário: 4

João Moutinho: 8

Joåo Pereira: 3

João Félix: 2

José Fonte: 1

Luís Figo: 3

Mário Rui: 1

Miguel Veloso: 2

Nani: 6

Nuno Mendes: 4

Pauleta: 1

Pedro Neto: 1

Pepe: 1

Ricardo Quaresma: 8

Rafa Silva: 2

Rafael Leão: 1

Raphaël Guerreiro: 2

Raul Meireles: 1

Ricardo Carvalho: 1

Rúben Neves: 2

Silvestre Varela: 1

Simão Sabrosa: 1

Vitinha: 1

William Carvalho: 1