Amorim aanza mikakati ya usajili Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim inadaiwa tayari ameshaingia chaka na kuanza kusuka upya kikosi chake na ameanza na safu ya ushambuliaji.
Bayer Leverkusen yakubali kwa Alonso MKURUGENZI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro amethibitisha hatma ya kocha wao Xabi Alonso itaamuliwa katika wiki chache zijazo baada ya mazungumzo zaidi na wangependa kuendelea kuwa naye lakini...
Nyuma ya mafanikio ya Lewis-Skelly kuna Marcia Lewis Septemba 22, 2024, itabaki kwenye historia ya soka, hasa la England, kama moja ya siku za kipekee na kukumbukwa sana.
Carragher: Alexander-Arnold hapaswi kuanza Liverpool LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesisitiza beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold hapaswi kuanza tena katika kikosi cha Liverpool ikiwa hajatoa majibu kama anataka kuondoka au kubaki.
Arteta afunguka hali ya Saka KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewahakikishia mashabiki wa Arsenal kuwa staa wa timu hiyo, Bukayo Saka hakuumia vibaya licha ya faulo mbali aliyofanyiwa na kulazimu atolewe katika mchezo wa...
Maresca: Sijakimbia mashabiki KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesisitiza kuondoka kwake haraka mara tu filimbi ya mwisho ilipopigwa katika mchezo dhidi ya Fulham wikiendi iliyopita, ilikuwa ni kwa sababu ya kuwaachia...
Rekodi mbaya zaiandama Man United BAADA ya kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wolves wikiendi iliyopita, Manchester United imeendelea kuweka rekodi mbaya msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kupoteza mechi 15 katika msimu mmoja baada ya...
UBINGWA EPL: Liverpool inaisikilizia Arsenal WIKI hii wachezaji na mashabiki wa Liverpool watakuwa sebuleni macho yote yakiutazama mchezo wa London dabi wa Arsenal dhidi ya Crystal Palace wa keshokutwa Jumatano, utakaoamua ubingwa wao wa...
Msiba wa Papa waahirisha mechi za ligi Italia Mechi za soka 24 za madaraja matatu ya juu ya ligi Italia zilizokuwa zichezwe leo Jumatatu, Aprili 21, 2025, zimeahirishwa kutokana na kifo cha kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis...
PRIME Simba kuwa ya nne Afrika ni udhaifu CAF, kama ilivyokuwa FIFA, Jamhuri Ya Czech 2006 KUELEKEA Kombe la Dunia 2006, Shirikisho la soka la Kimataifa, FIFA, lilitoa orodha ya viwango vya ubora wa kila nchi duniani.