Spurs kicheko, Man United kilio Europa MICHUANO ya Europa League inatinga hatua ya nusu fainali na Manchester United, Athletic Bilbao, Bodo/Glimt na Tottenham ndizo zilizotinga kusaka zitakazocheza fainali.
Garnacho atua anga za Atletico Madrid ATLETICO Madrid ipo tayari kuweka mezani kiasi cha Pauni 70 milioni kwenda Manchester United kwa ajili ya kuipata saini ya winga wa timu hiyo na Argentina, Alejandro Garnacho, 20.
TOTAL FUTBOL: Ni wikiendi ya shampeni WIKIENDI hii, Ligi Kuu England itakuwa inaingia katika mzunguko wa 33 ambapo kila timu itakuwa imebakisha mechi tano kabla ya kuhitimisha msimu huu.
Arsenal yaiharibia rekodi Real Madrid Ulaya Arsenal inapambana kuchukua taji hili kwa mara ya kwanza katika historia yao ingawa hapo awali iliwahi kushinda lakini wakati huo lilikuwa linaitwa European Cup Winners msimu wa 1993-94.
Amorim anatia huruma Man United NDIO hivyo. Baada ya kukiri mwenyewe kwamba yeye ni miongoni mwa makocha wenye rekodi mbovu kuwahi kutokea Manchester United na kusisitiza kwamba anahitaji kushinda Europa League ili kuweka mambo...
Waarabu waweka dau nono kwa Moises Caicedo Ripoti kutoka tovuti ya Telegraph, zinaeleza kwamba Chelsea inaweza kuwa tayari kumuuza fundi huyu lakini kwa kiasi cha pesa ambacho kitakuwa zaidi ya Pauni 100 milioni.
Gundu lamtoa machozi Harry Kane STRAIKA wa Bayern Munich ambaye ni kapteni wa timu ya taifa ya England, Harry Kane, alibubujikwa na machozi baada ya Bayern Munich kutolewa kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Inter...
Huko Liverpool ni vicheko tu HUENDA ukawa ni mwezi mzuri sana kwa Liverpool kutokana na matukio ambayo yanajiri kwao kuanzia ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
Howe azuia dili la Isak kwa vigogo Ulaya KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amewaambia mabosi kwamba anahitaji kuendelea kuipata huduma ya straika wa kimataifa wa Sweden, Alexander Isak anayehusishwa kuondoka mwisho wa msimu huu.
Spurs, Man United ni 'Do or Die' HATUA ya robo fainali ya michuano ya Europa League kwa mechi za mkondo wa pili inatarajiwa kufanyika leo ambapo timu zote nane zitashuka dimbani kwenye viwanja mbalimbali kupambania tiketi ya...