Arne Slot anaishi ndoto za Ancelotti NDIO. Kocha wa Liverpool, Arne Slot anaishi ndoto za kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti ambaye amekiri kwamba kuifundisha Liverpool ni ndoto yake ya muda mrefu.
Osimhen afunguka mustakabali wake Napoli STRAIKA wa Napoli, Victor Osimhen amezungumzia mustakabali wake wakati mkataba wa mkopo wa msimu mmoja Galatasaray ukitarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
Barca yamweka Raphinha sokoni BARCELONA iko tayari kumuuza Raphinha dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa itapokea ofa ya Euro 80 milioni, taarifa zinaeleza kutoka Hispania.
Waarabu watua kwa Onana KIPA wa Manchester United, Andre Onana amepewa ofa nono kutimkia Saudi Arabia, lakini amesisitiza kwamba anataka kubaki na kupambania nafasi kikosini.
Kiulaini Arsenal kwa Madrid basi tu UCL LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi na watu wengi ni ile kati ya Arsenal na Real Madrid ambayo ni ya...
Kisa Vinicius Jr, Madrid yaanza kumnyatia Haaland REAL Madrid inafikiria kutuma ofa kwenda Manchester City kwa ajili ya kuipata saini ya straika wao na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland, 24, dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu, ikiwa...
King Salah ni rekodi baada ya rekodi England IKIWA ni siku chache tangu asaini mkataba mpya, mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amewekea rekodi nyingine katika Ligi Kuu England.
Real Madrid yatuma watu Italia RIPOTI kutoka Italia zinaeleza, Real Madrid imetuma wawakilishi wake kwenda Italia kwa kukutana na mabosi wa AC Milan na kuanza mazungumzo ya kumsajili winga wao Rafael Leao, 25, dirisha lijalo...
Hatma ya Sancho, Chelsea iko hivi KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca alitoa taarifa kuhusu mustakabali wa Jadon Sancho baada ya mchezaji huyo kufunga bao la kusawazisha kwa Chelsea dhidi ya Ipswich Town.
Usiku wa hukumu Ligi ya Mabingwa Ulaya MICHEZO ya kwanza ya mkondo wa pili hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kupigwa leo na kutakuwa na mechi mbili zote zikianza saa 4:00 usiku.