Brazil 2014: Brazil inaanza na vita ya wakali hawa kwenye tuzo ya Mchezaji Bora
Leo Alhamisi, mwamuzi Mjapani, Yuichi Nishimura, atapuliza kipyenga kuanzisha mechi ya ufunguzi wa fainali za Kombe la Dunia wakati wenyeji Brazil watakaposhuka kwenye Uwanja wa Itaquerao mjini...