Majeshi ya Yanga na Simba yaenda mafichoni AZAM FC imeshatangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, ndiyo bingwa mpya hakuna ubishi. Imefanya hivyo ikiwa na mechi moja mkononi itakayopigwa Jumamosi.
Yanga: pisha njia YANGA inapiga tu, yaani kila anayekatiza mbele yake anaambulia kichapo na jana Jumatano ilikuwa zamu ya Kagera Sugar iliyolambwa mabao 2-1 pale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Beki Azam yawazidi nguvu Cannavaro, Twite BEKI ya Yanga chini ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kelvin Yondani ‘Vidic’, msimu uliopita ndio ilisifika kwa ubora kuliko timu nyingine za Ligi Kuu Bara hadi wakapachikwa jina la Ukuta wa...
Yanga nipe tano. NIPE tano! Ndiyo salamu ya mashabiki wa Yanga jana Jumatano baada ya timu yao kuisulubu bila huruma Prisons ya Mbeya kwa mabao 5-0 ndani ya Uwanja wa Taifa. Lakini bado ina kazi pevu kutetea...
Mpaka kieleweke VITA ya Azam na Yanga kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara imefikia patamu baada ya timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 jana Jumatano katika mechi iliyofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambayo...
Miamba ya soka kuitikisa dunia NDANI ya saa 48 Duniani kuna mechi tano muhimu ambazo ni pata potea. Ushinde ubaki au ufungwe ile kwako. Kuna mechi mbili kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku Chelsea itarudiana na Galatasaray...
First eleven mpya ya Simba na Yanga >MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara unaelekea ukingoni huku kukiwa na ushindani mkubwa kuwania nafasi tatu za juu baina ya timu za Azam, Yanga, Mbeya City na Simba.
Rekodi zaiponza Yanga Morogoro >LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi tatu kuchezwa kwenye viwanja vitatu tofauti. Mabingwa watetezi Yanga wataumana na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati...
Yanga wanaume wa shoka >YANGA imeondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika lakini imepigana kiume na kudhihirisha kwamba ni Wanaume wa shoka. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara walikomaa na kuonyesha soka...
TASWIRA: Ni muda mzuri wa kuwauza Domayo, Messi MABINGWA wa soka wa Tanzania, Yanga kesho Jumapili watakuwa na kazi moja kubwa ya kulinda ushindi wao kwa kuhakikisha Al Ahly hawapati nafasi ya kucheza kama wanavyotaka.