PRIME Azam yaanza na mbadala wa Fei Toto HAWAJAWEKA wazi lakini tafsiri ya kiufundi ni kwamba Azam FC wako kwenye harakati za kujiandaa na lolote kwenye nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto’
PRIME Ikanga Speed yamemkuta Yanga LIGI Kuu Tanzania Bara ipo kwenye dakika za lala salama. Tayari nafasi nne za juu zimeshajulikana. Hiyo ikimaanisha kwamba Simba, Yanga, Azam na Singida watakwenda kimataifa msimu ujao.
PRIME Sababu 5 za mtego wa dabi BADO kuna utata juu ya hatma ya mchezo wa kiporo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambapo kujua upande mmoja haujanyoosha maelezo kama mchezo upo au haupo hatua ambayo inaweka rehani mechi hiyo.
Nabi aona kitu Singida Black Stars KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars.
Beki Yanga azungumzia ishu ya kutumia dawa za kulevya JUA linawaka polepole katika viunga vya Kianga, Unguja, Zanzibar kwenye kona ya uwanja wenye majani yaliyonawiri
PRIME Kocha wa Yanga afunguka kuhusu Dabi WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa...
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 5 Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo na...
Mechi za ubingwa ZPL kupigwa leo VITA ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imekaa kimtego huku mechi mbili zitakazochezwa leo Mei 30, 2025 zimebeba nafasi ya timu kujitengenezea nafasi nzuri.
New City yashuka rasmi, Mlandege yapaa nafasi ya pili ZPL TIMU ya New City imeshuka daraja rasmi baada ya jana kupoteza kwa kupigwa mabao 5-1 na Mwenge ambayo nayo inapambana kuepuka kushuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL).
Mlandege yajiweka pazuri mbio za ubingwa ZPL MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege imeendelea kuufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kuichapa Mwenge kwa bao 1-0 katika mechi iliyopigwa jana kwenye Uwanja wa Mao A, mjini...
Dokta Pamba Jiji: Uoga wa kupoteza namba unavyoongeza majeruhi KATIKA ulimwengu wa soka ushindani wa namba na nafasi katika kikosi cha kwanza ni mkubwa kiasi kwamba wachezaji wengi huhisi wanalazimika kuendelea kucheza hata wanapokuwa na majeraha.
Nyota Yanga Princess awasha moto Misri ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga Princess, Mkenya Janet Bundi anayekipiga NBE FC ya Misri amezidi kung'ara akiwa kwenye tatu bora za wafungaji bora nchini humo.
Madrid yamkataza Trent kutumia gari lake REAL Madrid imemkataza Trent Alexander-Arnold kupeleka Hispania gari yake ya kifahari baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Liverpool.
PICHA: Viongozi mbalimbali wa Serekali, TFF, TPLB, Yanga na Simba walivyowasili kwenye mkutano sakata la Dabi